Ni kifaa kizuri cha mazoezi cha kuburn calories. Fanya mazoezi yote na urudie mara mbili ndanivya dakika 10 na fanya mazoezi ya siku 4 hadi 5 kwa wiki. Utaboresha kiuno chako vizuri na kuongeza ukakamavu sehemu nyingine za mwili
Mashine ya tumbo SIX-PACK CARE hufanya naeneo maalum ya mwili pamoja na tumbo la juu, tumbo la kati na tumbo la chini. Kwa vitendo 7 kwenye eneo lote la tumbo hutoa upepo mkubwa. Tumia vitendo hivi kila siku ni moja wapo ya njia bora za kupunguza au kuzuia kuzorota kwa misuli, mishipa na viungo