Mashine ya kutuliza maumivu na kusisimua misuli iliyopooza.
inatumika kutibu maumivu ya shingo, mgongo, miguu/mikono kuwaka moto, ganzi, kupooza na maumivu ya misuli.
kifaa hiki unaweza kutumia badala ya dawa za kutuliza maumivu. kama unayo maumivu ya muda mrefu na umechoka kutumia dawa, basi kifaa hiki ni suluhisho la shida yako.
dawa za kutuliza maumivu na ganzi zinamadhara makubwa mwilini ukizitumia kwa kipindi kirefu, mojawapo ya madhara ni figo kuchoka kufanya kazi zake mapema kwani kila dawa unayokunywa ni mzigo kwenye figo.
ishi kwa furaha