Huongeza kasi ya miguu (foot speed).
Huboresha wepesi na uwezo wa kubadilisha mwelekeo.
Husaidia kuongeza uratibu wa mwili (coordination).
Inafaa kwa mazoezi ya soka, boxing na fitness.
Ni nyepesi, inabebeka na ni rahisi kutumia.
Inafaa kwa mazoezi ya nyumbani, gym na uwanjani.