Sifa KuuMizani ya Chuma: Ina sahani za uzito (plates) za chrome zinazodumu kwa muda mrefu bila kuharibika.Uzito Unaobadilika: Unaweza kuongeza au kupunguza sahani ili kupata uzito unaotaka kulingana na uwezo wako.Mishiko Miwili (Bars): Ina nondo mbili za chuma zenye sehemu ya plastiki/gundi katikati kwa ajili ya kushika vizuri bila kuteleza.Makufuli ya Nyota (Spinlock Collars): Zipo kokwa 4 za chuma zinazozungushwa ili kufunga na kuzuia sahani za uzito zisianguke wakati wa mazoezi.Mkoba wa Kuhifadhia (Case): Inakuja na boksi thabiti linalorahisisha kubeba na kutunza vifaa vyote sehemu moja.MatumiziKujenga Misuli: Inatumika kufanya mazoezi ya kuongeza ukubwa na nguvu ya misuli ya mikono (biceps & triceps), mabega, kifua, na mgongo.Mazoezi ya Nyumbani: Ni nzuri kwa mtu anayefanya mazoezi nyumbani (Home Gym) kwa sababu haichukui nafasi