Solar sensor Light nzuri inajizima mchana na kujiwasha automatic giza likiingia juu ina kisolar chake hivyo ukishaifunga baasi umemaliza pia ukitaka kuiwasha mchana au kuizima usiku ni rahisi kwani ina remote yake yenye option ya kuzima, kuwasha, kuongeza na kupunguza mwanga.