Smartwatch T500 Series Toleo Jipya Kabisa

Posted Apr 4
Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
135 views
Brand New
Condition
Smart Watch Accessories
Type
Other
Subtype
99%
Brand
Sifa zake
ina tumika kwa smartphones zote iwe iphone au android
ina badilishika mikanda, ukihitaji mikanda ya ziada tunayo pia
ina uwezo wa kupima mapigo ya moyo, calories ulizotumia, ecg nk.
steps ulizotembea zita display kwenye kioo chake.
kioo chache ni touch control na kipo very smooth.
ukiunganisha na simu yako utaweza kupata taarifa zote muhimu (notification) ,zote za whatsapp, fb, instagram nk.
utaweza kupiga na kupokea kwa bluetooth call.
ina ant lost function, ukisahau mahali ulipoweka simu, itakusaidia kutafuta.
ina wallpapers zaidi ya 10, so utaweza badili anytime ukihitaji.
hii saa ni unique sana na ni nzuri sana utaipenda
ina sound recorder,alarm,b-music
ni saa nzuri pia kwa mazoezi kwani utaweza ku set goals, na kuna settings za mazoezi kama kuruka kamba, kukata tumbo, tennis nk.
original, ina warranty
📦 free deliver
tuna tuma mzigo mikoani na tanzania nzima
  • Smartwatch T500 Series Toleo Jipya Kabisa
  • TSh 120,000
    Last seen 1 hour ago
    0752886244
    Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

    Similar adverts