Inawekwa Laini ya Simu (Plug-in SIM Card): Inapiga na kupokea simu moja kwa moja bila kutegemea simu nyingine.
Ina Earbuds Ndani: Earphones ziko ndani ya saa, unazitoa na kusikiliza muziki au kuongea kwa urahisi muda wowote!
Kamera / Photograph: Ina uwezo wa kupiga picha (Photograph).
Bluetooth 5.3 + 5.3: Mfumo wa kisasa wa kuunganisha na simu yoyote kwa haraka na bila kukatika.
Low Power Consumption: Betri inayodumu na kutumia umeme mdogo.
Kioo Kikubwa & Muonekano wa Kifahari: Design ya kisasa inayofaa kwa wanaume na wanawake.