Muundo Mwepesi & Kifahari: Inakaa vizuri mkononi na kupendeza na vazi lolote.
Kioo cha AMOLED: Onyesho la wazi, angavu na lenye rangi za kuvutia.
Ufuatiliaji wa Afya: Pima mapigo ya moyo, Oksijeni (SpO2) na mzunguko wa kulala kwa usahihi wa hali ya juu.
Betri ya Siku 14 + Fast Charge: Tumia hadi wiki mbili, na chaji ya dakika 5 inakaa siku 2!
Modes 100+ za Mazoezi: Inakusaidia kufuatilia maendeleo ya afya na mazoezi yako kila siku.
Inahimili Maji (5 ATM): Valia kwa amani wakati wa mazoezi au kuogelea.