G tab gt8 smart watch
inakuja na mikanda miwili (mmoja chuma)
ina mashine ya kupunguzia saa
unaweka picha kwenye kioo
inasupport zaid ya lugha 24
ina full display yaan kioo kinajaa chote juu mpaka chini
inaunganisha i phone na android
water proof
material: alloy
bluetooth unaweza unganisha na simu.
full touch display
inapiga na kupokea simu
ina sensor monitoring inahesabu hatua,umbali, blood pressure, blood oxygen,body temperature na kwa wanamichezo hii inahesabu kiasi cha calories zilizoungua.