New g-tabgt3 pro smart watch
inakuja na mikanda miwili
iko na round shape
black colors
high quality
unaweka picha kwenye kioo
wireless charge
ni ceramic material
inasupport lugha nyingi
ina full display yaan kioo kinajaa chote juu mpaka chini
crown yake inafanya kazi
inaunganisha i phone na android
water proof
material: alloy
bluetooth unaweza unganisha na simu.
full touch display
inapiga na kupokea simu
ina sensor monitoring inahesabu hatua,umbali, blood pressure, blood oxygen,body temperature na kwa wanamichezo hii inahesabu kiasi cha calories zilizoungua.
bei; ni elf120,000
tuko kariakoo mtaa wa likoma na masasi dar tunafanya delivery buree malipo baada ya kupokea mzigo wako mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa