Inachukua Line (SIM Card Support): Unaweza kuweka line ya simu moja kwa moja na kuingiza/kupokea simu popote ulipo bila kuhitaji kushika simu kubwa.
Piga na Pokea Simu: Ina spika na maikrofoni ya ndani inayokuwezesha kuongea kwa urahisi ukiwa mchezoni, unaendesha au umetingwa.
Kamera ya Ndani (Camera Model): Ina kamera inayokuwezesha kupiga picha kwa haraka mkononi mwako.
Kioo cha Touch (Touch Screen): Kioo kipana chenye muonekano safi sana na rahisi kutumia kwa ncha za vidole.
Ujumbe na Muziki (Message & Music): Inasaidia kusoma/kutuma ujumbe (SMS) na kusikiliza muziki unaoupenda.
Programu za Mazoezi (Sports Mode): Inafuatilia mazoezi yako na afya kwa ujumla.
Kifurushi Kukamilika: Inakuja na chaja ya kisasa ya sumaku (wireless/magnetic charger) pamoja na mwongozo wa matumizi (manual).