Smartwatch ya A58 Plus: Yenye kioo kipana cha 2.02" Big Screen cha kuonyesha muda, kupokea taarifa, na kufuatilia afya/mazoezi.
Strap za Ziada: Inakuja na kamba za kubadilisha (Grey & Pink/Rose Gold).
Saa ya Kawaida ya Urembo (Analog/Quartz Watch): Yenye nakshi za mawe yanayong'aa.
Seti ya Vito (Jewellery Set): Bangili za kifahari, mkufu wenye pende, pete, na cheni.
Chaja ya Smartwatch: Kwa ajili ya kuchaji fiti na kwa haraka.
Sifa Kuu:
Muundo wa kisasa na wa kuvutia sana.
Ni zawadi bora kabisa kwa siku za kuzaliwa (Birthday), sikukuu, au maadhimisho mbalimbali.
Inafanya kazi vizuri na simu za Android na iPhone.