The ordinary aha 30% + bha 2% peeling serum .
- hii serum ni kwa ajili ya exfoliating (kuchubua ) issues .
●hii inaondoa dead skin cell kwenye ngozi
●inaondoa uchafu na mafuta yaliyoziba kwenye tundu za uso .
●inaondoa whiteheads and black heads
●inaondoa ngozi ya juu iliyokufa ili ije ngozi mpya .
jinsi ya kutumia ;
-osha uso wako kabla ya kupaka hii peeling solution , kausha uso wako ndio upake .
- kaa nayo dakika 10 tu ondoa , usikae nayo zaidi ya dakika 10 .
-paka mara moja kwa week , kama ndio unaanza paka mara 1 kwa wiki mbili .
-ukipaka mara 3 , anza kupaka mara 1 kwa wiki 1 .
ipo dukani kalibu
whatsapp / kupiga062XXXXXXX