"Rinju lotion " ni lotion kwa ajili ya mwili mzima , ambayo imeundwa kwa Vitamin na madini mbalimbali .
.
.Ni lotion ambayo itakufanya kuwa na muonekano halisi wa ngozi yako , kwasababu ina Vitamins kama E .
.Ni lotion ambayo itaondoa ukavu wa ngozi yako , na kukuacha laini siku nzima .
.Husaidia kwa wale wenye ngozi zilizokunjamana kutokan na uwepo wa Cocoa butter .
.
.Inatengenezwa na kampuni ya "Rubee and Rinjuu Cosmetics " ambayo ipo U.S.A (marekani ) .
.
.Pia ni original kabisa
.
.