Portia m marula face cream (day cream & night cream ) .
○● marula face cream zipo za aina 2 , kwa ajili ya mchana (day ) na usiku (night ) .
1. day creame .
●imeundwa kwa marula seed , ambayo ina fatty acid , omega muhimu kwa ngozi .
●ina spf 20 , ambayo huzuia ngozi kuharibika na jua .
●italainisha ngozi yako .
●itaongeza unyevu nyevu (moisture ) kwa ngozi .
●haina joto .
●itaondoa ile mishipa ya kijani , inayoonekana .
●italudisha ngozi kama muonekano mzuri , hasa wale walioharibika na cream .
2.night creame .
●itaondoa madoa madoa yote kwenye ngozi .
●itaondoa mikunjo mikunjo kwenye ngozi .
●itang'arisha ngozi vizuri sana .
●itaondoa ngozi ya kizeee , inakupa muonekano wa ujana .
●haina joto kabisa .
●itakausha chunusi zote .