•Haya mafuta ukiyapaka vizuri mwilini yanasaidia
~Its a natural antioxadants
~Wale wenye uharibifu wa ngozi inasaidia kurepair ngozi na kuipa muonekano mzuri
~Inaondoa madoa sugu na weusi mwilini uliyoshindikana
~Kuondoa weusi mapajani
~Waliopata vidoti vyeupe miguuni shauri ya cream inaondoa
na kufuta haraka sana
~Inaondoa chunusi na miwasho kwenye ngozi
~Inaondoa mapunye na Utangoutango kwenye ngozi mwilini
na usoni
~Inafanya ngozi kuwa na rutuba ~ Inafanya ngozi iglow na ishine ~Inaipa ngozi unyevuunyevu muda wote
~Inasaidia kung'arisha ngozi na kufanya ngozi iwe soft&laini ~Inaondoa mado&ugonjwa wowote mwilini mpka madoa ya
mbu
~Yanakupa natural bright&glowing complexion... ngozi inaglow na inapendeza
•Ni moja kati ya oil yenye maajabu ipake kila siku kwa matokeo mazuri ya ngozi yako