Mizani ya kisasa kwajili yakupima uzito.auto on and off,pia inatoa mwanga, haina haja ya taa usiku,pia inasoma na temperature (sio joto la mwili).tupo kinondoni
Canon eos 5d mark ii full frame dslr camera (body only). body ni used ila bado ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote.
features & details
21.1-megapixel full-frame cmos sensor, 14-bit a/d conversion, wide range iso setting 100-6400
body only, lenses sold separately,
digic 4 image processor; high-performance 3.9 fps continuous shooting; live view function for stills
full hd video capture at 1920x1080 resolution for up to 4gb per clip ; hdmi output
updated eos integrated cleaning system specifically designed to work with a full-frame sensor
Coffee sea salt scrub 🥰
💥ni scrub yenye mchanganyiko wa "kahawa" na "chumvi" , ambavyo vyote ni muhimu kwa mwanadamu !
💥coffee scrub inaondoa chunusi .
💥coffee scrub inaondoa na kusaidia watu wenye ngozi za mafuta , ambazo hupelekea chunusi !
💥coffee scrub inasaidia mzinguko wa damu mzuri katika ngozi yako , kitokana na madini yaliyo humo !
💥coffee scrub husafisha mwili na huondoa takataka zote na kukuacha safi kabisa !
cover za magari aina zote zinapatikana kwa offer kubwa . faida ya hizi cover ukifunika gari yako hazipitishi maji, vumbi , wala mionzi ya jua kupausha gari lako
"sowat whitening cream " ni cream nzuri sana kwa ajili ya mwili mzima .
.
. ni cream inayoondoa madoa madoa mwilini .
.ni cream inayoondoa chunusi usoni .
.ni cream inayoondoa makunyanzi usoni .
.ni cream ambayo inasoftisha ngozi .
.
.Na ni original kabisa .
"cronovate body cream " ni cream nzuri sana kwa ajili ya mwili mzima .
. inaondoa makunyanzi usoni
. inaondoa chunusi usoni
.inaondoa mabaka mabaka usoni
.inaondoa wekundu wekundu kwenye ngozi
. inang'arisha ngozi .
.
. inamatokeo ya uhakika
"wix body cream " ni cream nzuri kwa ajili ya mwili mzima ambayo imeundwa kwa mimea mbali mbali pia shea butter na cocoa butter .
.
.Kazi ya Wix ...........
. - Wix inasaidia katika kuondoa ukavu wa ngozi yako .
. - Wix inasaidia kuondoa mikunjo mikunjo ya ngozi .
. -Wix inasaidia katika kupunguza athari za jua (sun block /protection ) .
. - Wix inasaidia katika kitunza ngozi kwa kuipa vitamini mbalimbali kama Vitamin E , K .
. -Wix inaondoa makunyanzi .
. -Wix inakupa ngozi soft kabisa .
.
.Na ni origianal kabisa .
.
"Queen Helene , cocoa butter body oil " ni mafuta ya maji ya mwili mzima ambayo yametengenezwa kwa mmea wa cocoa .
.
.Kazi ya kubwa ni ;-
. -Kuondoa ukavu wa ngozi kabusa .
. - Hurudisha Muonekano halisi wa ngozi yako kwa kufifisha makovu , kuondoa mikunjo mikunjo ya ngozi .
. - Pia imeundwa kwa Vitamin E ambavyo ni muhimu zaidi kwa ngozi yako .
.
.Haya mafuta hayana madhara yeyote kwa ngozi yako .Pia ni mepesi ambayo yatapenya kwa urahisi kwenye ngozi yako .
.
.Yanatengenezwa na kampuni ya "queen helene " ambayo ipo "marekani , U.S.A " .
.
.Pia ni original kabisa .
"Queen Elizabeth " ni cream ya mwili mzima , ambayo imeundwa kwa mmea wa cocoa butter halisi .
•Kazi yake ni -kukufanya kuwa soft mwili mzima .
. -Kuondoa ukavu na ukakamavu wa ngozi .
. - Inang'arisha mwili na kukupa mwonekano halisi .
. -Imejaa vitamins muhimu kwa ngozi yako .
.
.
•Queen inaundwa(kutengenezwa) katika nchi ya " Cote d'lvoire " na kampuni ya "siparco-ci "
;•••• Original kabisa
"Ever Sheen , cocoa butter , body cream "
-Ni lotion ya mwili mzima ambayo itakufanya kuwa na ngozi nyororo na lain ,pia kukufanya kupata muonekano wa kijana muda wote .
-Pia huondoa mikunjo mikunjo na ukavu wa ngozi .
•Inatengenezwa na kampuni ya "Siparco -ci" katika nchi ya " cote d'lvoire "
"vaseline cocoa body oil " ni jelly ya mwili ambayo imeundwa na cocoa butter halisi(mmea wenyewe) ,
kazi yake ,
-inaondoa ukavu wa ngozi .
-inapunguza athari za mionzi ya jua .
-inasaidia kuludisha muonekano halisi wa ngozi .
-inasaidia kuondoa mikunjo .
-inaweza kutumika kama tiba kwa mfano kam mtu kapata athari za moto , michubuko kwa ngozi .
.Inatengenezwa na kampuni ya "Vaselline " ipo UK(uingereza) na kusambazwa na "unilever " .
. zipo