Easy glow half cast whitening set .
●imeundwa kwa wingi na glutathione drip ambayo imeipa nguvu zaidi ya kuleta matokeo mazuri zaidi .
●set yenye bidhaa 4 zenye nguvu ya matokeo
●imeundwa kwa strong serum , strong lotion , whitening shower gel na face cream .
●inaondoa chunusi zote .
●itaenda kuondoa madoa madoa yote kwenye ngozi .
●itaondoa ukavu wa ngozi yako kabisa .
●itaondoa mikunjo mikunjo na ngozi ya uzee , kukupa muonekano wa ujana .
●itaondoa michirizi yote kwenye ngozi .
●itakutakatisha kabisa na kukupa ngozi laini yenye kuteleza na kuwaka waka .