CeraVe Acne Control Cleanser With 2% Salicylic Acid .
●Cleanser Maalumu kwa ajili ya Kuondoa na Kusafisha Chunusi zote .
●Imeundwa kwa 2% Salicylic Acid , Ceramids , niacinamide .
- 2% Salicylic Acid imeundwa kwa ajili ya Kuondoa Chunusi , Kupunguza Madoa na Kufukia , kuondoa Vishimo (Pores ) kwenye Ngozi .
- Vile vile 2%Salicyluc Acid inanyonya na Kuondoa kiwango cha Mafuta kwenye ngozi , na kuacha ngozi Kavu na Laini Muda wote .
- Ceramids na Niacinamide inafanya Ngozi laini , Nyororo na kuongeza Unyevu nyevu .
JINSI YA KUTUMUA
●Tumia Asubuhi na Jioni.
●Uso uwe na Unyevu nyevu , Paka kiasi kwenye uso anza Kumassage hakikisha imenyonywa na ngozi.
●Osha na Maji .
Kalibu ipo Dukani
WhatsApp / piga + .