FAIDA ZA ALOE LIQUID SOAP *Ni Sabuni ya maji yenye Aloevera inayofaa kuoshea uso, mikono na kuogea. Ni nzuri sana kuogeshea watoto kwa kuwa haitoi machozi na hufanya ngozi yake iwe laini na yenye unyevu unaofaa *Husaidia matatizo ya ngozi kama pumu ya ngozi(eczema)psoriasis,dermatitis *Haiwashi inafaa kwa ngozi yoyote kwa kuwa ina PH na ngozi na hii husaidia kupenya kwenye ngozi na kutoa uchafu uliojificha. *Inaweza kutumika kunyolea ndevu. *Huacha ngozi ikiwa laini sana na ya kuvutia *Ni nzuri kwa kuoshea sehemu za siri, huzuia miwasho na harufu mbaya.