VICO WATERPROOF SNEAKERS
Tembea kwa kujiamini bila kujali hali ya hewa! Zikiwa na muundo wa kisasa, ubora wa hali ya juu na uwezo wa kuzuia maji, hizi ndizo sneakers zinazokupa style na uimara kwa wakati mmoja.
Size: 40, 41, 42, 43, 44, 45
Bei: TSh 120,000/-
Wahi kuagiza sasa kabla stock haijaisha!