VIATU VYA NGOZI HALISI – KWA WANAUME WA KIWANGO
Class ya juu, muonekano wa kipekee!
Kama unataka kuonekana Boss, Kiongozi au mtu mwenye hadhi, hii ndiyo style yako sahihi
Size Zilizopo:
39 • 40 • 41 • 42 • 43 • 44 • 45 • 46
Bei ya Jumla: 140,000/= tu
Ubora wa hali ya juu kwa bei rafiki kabisa
Ngozi imara na ya kudumu
Design ya kisasa & ya kuvutia
Inafaa kazini, sherehe na matumizi ya kila siku
Tunapokea oda & tunatuma mikoa yote Tanzania
Location: Kariakoo – Mtaa wa Congo & Agrey
Wasiliana nasi sasa:
+
+
+
Stock ni ndogo na inaisha haraka!
Usichelewe — weka oda yako sasa uwe mbele ya wengine!