Viatu vya Kiume vya Ofisini na Suti vya Ngozi ya Mamba (Premium Monk Strap Shoes) Inauzwa!
Tofautisha na inua muonekano wako kisharifu kiofisi, kwenye harusi, send-off, mikutano ya kibiashara, au ibada kwa viatu hivi vya mtindo wa kisasa wa 'Single Monk Strap'. Viatu hivi vimeundwa kwa kitambaa cha ngozi cha viwango vya juu (Premium Leather) chenye nakshi ngumu ya mamba inayovutia, isiyochubuka kirahisi na inayohifadhi mng'ao wake kwa muda mrefu sana.