Santoni loafer - made in italy edition
kiatu motooo! - santoni original - made in italy - ngozi kali ya asili - laini, imara & inadumu - design ya slip-on ya kifalme - kushona kali - sole nyeupe imara - ndani orange kali - light & comfortable sana - unaivaa asubuhi hadi usiku bila kuchoka - inang'aa kwenye miguu - look ya kiboss mkubwa!
*rangi kali zilizopo kama picha:*
tan brown / coffee - boss kali!
dark brown / chocolate - classy sana!
grey - stylish & unique sana!
*sizes:* 40 - 45 (size zote zipo)
best kwa ofisini, church, harusi, kitchen party, dinner, graduation & kila sherehe - ina-match na suit, khaki, jeans, trouser na kaunda - ukivaa hii, utaonekana boss mwenye pesa!
* kariakoo, congo & narung'ombe st.*
* delivery dar & mikoani leo leo*
* - wahi rangi yako kabla haijaisha!*