Raba za Kiume za Nike Air Zoom Gore-Tex (Premium Sneakers) Inauzwa!
Refresh muonekano wako wa kijanja, mazoezi, au mitoko ya kila siku! Raba hizi za Nike Air Zoom zimeundwa kwa teknolojia ya Gore-Tex inayozuia maji kupenya huku ikiruhusu mguu kupumua vizuri. Soli yake ya Air cushion kwa nyuma inakupa urahisi na faraja kubwa wakati wa kutembea au kukimbia. Ni viatu imara vinavyoendana vizuri na jeans, traki, au bukta.