Pendeza Kistaa na Women's Side-Zipper Slip-On Sneakers
Toleo jipya kabisa la raba laini za kike kwa ajili ya wale wanaopenda kupendeza kwa nadhifu, wepesi mguuni na pigo la kisasa la kishua. Viatu vimeenda shule, vinashika mguu vizuri na vinakwenda na kila aina ya vazi la casual.