Pendeza Kistaa na Women's Retro Suede Loafers
Toleo jipya na la kipekee kabisa la viatu vya bapa (flats) vya kike kwa ajili ya wanaopenda kupendeza kijanja, kwa nadhifu na wepesi mguuni. Viatu vimeenda shule, vinashika mguu vizuri sana, na kuleta muonekano wa kipekee kabisa.