Pendeza Kistaa na Pedro Cross-Strap Slide Sandals
Toleo jipya na la kipekee kabisa la open shoes/yeezi pendwa za Pedro kwa wanaume wanaopenda kupendeza kijanja kwa nadhifu na muonekano wa 'High Class'. Viatu vimeenda shule, vinashika mguu vizuri sana na kuleta heshima.