Pendeza Kistaa na Loues T Casual Double-Buckle Sandals
Toleo jipya kabisa la open shoes/yeezi kali za kiume kwa ajili ya wanaopenda kupendeza kwa nadhifu na wepesi mguuni. Viatu vimeenda shule, vinashika mguu vizuri, na vinaleta muonekano wa kishua sana.