Pendeza Kistaa na Design & More Double-Buckle Sandals
Toleo jipya kabisa la open shoes/yeezi kali za kiume kwa ajili ya wanaopenda kupendeza kwa nadhifu na wepesi mguuni. Viatu vimeenda shule, vinaleta muonekano nadhifu wa 'Smart Casual' na vinashika mguu vizuri sana.