Pendeza Kistaa na Air Jordan 1 Retro High Sneakers
Toleo jipya na pendwa kabisa la Air Jordan 1 kwa ajili ya wanaopenda kupendeza kijanja, kwa nadhifu na muonekano wa kishua sana. Viatu vimeenda shule, vinashika mguu vizuri na vinaendana kikamilifu na jeans, taiti au kaptula