Pendeza Kibosi na Premium Leather Casual Shoes
Viatu hivi vimetengenezwa kwa ngozi laini na imara ya daraja la kwanza (Premium Smooth Leather), vikiwa na muundo wa kisasa wa matundu madogo (Brogue detailing) na soli nene nyeupe inayotoa faraja ya hali ya juu na muonekano nadhifu sana wa kishua