NIKE PREMIUM SNEAKERS
Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
Zenye ubora wa hali ya juu
Nyepesi na zenye faraja kwa matumizi ya kila siku
Zinakwenda na jeans, suruali na outfits mbalimbali
Bei: TSh 120,000/-
Size: 41, 42, 43, 44, 45
Simama tofauti kwa kila hatua unayopiga. Chukua jozi yako leo kabla size haijaisha!
Tunafanya usafirishaji nchi nzima.