Gentlemen's Genuine Leather Executive Oxford Shoes - Mupya
Ongeza heshima, mamlaka na mvuto wa kisharifu kiofisi, kwenye mikutano ya kibiashara, ibada, au siku yako ya harusi! Viatu hivi vya mtindo wa Oxford vimeundwa kwa ngozi halisi ya kiwango cha juu (Genuine Leather) ambayo ni imara, inayong'aa vizuri na isiyochubuka kirahisi. Ndani vimeundwa kwa kitambaa laini kinachoruhusu mguu kupumua na kuzuia harufu, na soli yake ya chini ni thabiti na haitelezi. Zinaendana kikamilifu na suti, suruali za vitambaa, na mavazi yote rasmi