Pendeza Kistaa na Women's Premium Suede Fur Boots
Toleo jipya na la kipekee kabisa la buti ndefu za kike (Mid-calf) kwa ajili ya wale wanaopenda utanashati thabiti na muonekano wa 'High Class'. Viatu vimeenda shule, vina joto vizuri kwa ndani na vinakaa maridadi sana mguuni ukiwa na jeans au taiti zilizobana.