Buti Gumu na Kali za Kiume za Kijeshi (Tactical Combat Boots) Inauzwa!
Jipatie buti imara sana kwa ajili ya mitoko ya kijanja, usafiri wa pikipiki, kazi ngumu, au safari za machimboni na porini. Zimeundwa kwa soli nene ya mpira isiyoteleza na kitambaa kinachopitisha hewa vizuri.