Pendeza Kistaa na Women's Fashion Buckle Ankle Booties
Toleo jipya na pendwa kabisa la buti fupi za kike kwa ajili ya wale wanaopenda kupendeza kijanja, kwa nadhifu na muonekano thabiti wa 'High Class'. Viatu vimeenda shule, vinashika mguu vizuri na vinakaa maridadi sana mguuni ukiwa na jeans zilizobana au taiti.