Kailin ni lubricant yenye ubora mzuri, laini na salama kwa ngozi, Imetengenezwa kusaidia kupunguza msuguano na kuongeza utelezi kwa matumizi binafsi au ya wanandoa. Haina madhara, haina harufu mbaya, na ni rahisi kusafisha kwa maji. Kila chupa ni 200ml, inatoa unyevunyevu wa kutosha na haikai ngozi. Ni chaguo bora kwa wanaotaka comfort, utelezi zaidi na uzoefu mzuri bila muwasho.