Spy pen hidden camera
•
•Ni peni kama peni ya kawaida kwenye kuandika ila inauwezo wakuchkua picha pamoja na video pia
•Camera zake zimejificha hivo kufanya mtu mwengine asigundue uwepo wa camera
•Haiwaki taa ovyo wakat wa uchkuaji wa video au picha
•Unaeka memory card ya 32gb Maximum (not included)
•Ikiwa full unaeza ukachkua video ya dk90 yani 1hr30min
•Inafaa ofisini, nyumbani, kwenye mikutano, kwenye mahojiano
•Inauwezo wakuchomekwa kwenye laptop na kuona information zote zilzochliwa (picha pamoja na video)
•