tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. Security & Surveillance
  4. CCTV Camera
  5. Ike Security & Surveillance
Dar es Salaam, Ilala, 03/11
33 views

Secret Camera Like Bulb

CCTV Camera
Type
Brand
Indoor/Outdoor
Usage
Dome
Camera Form Factor
1080MP
Video Resolution
1.44mm
Lens Size
360degrees
Viewing Angle
360degrees
Rotation Angle
Automatic Motion Tracking
Camera Features
Brand New
Condition
Linda nyumba, ofisi, au duka lako kwa siri ukitumia kamera hii ya kisasa yenye muundo wa balbu ya taa! Haigunduliki kwa urahisi, hivyo ni suluhisho bora kufuatilia watoto, wafanyakazi, au kuzuia wezi. Sifa Kubwa: • Muundo wa Siri: Inafanana kabisa na balbu, haishtuki. • Urahisi 100%: Unasokota tu kwenye kishikio cha balbu (E27). Hakuna nyaya wala fundi! • Ona Popote: Unganisha na Wi-Fi utazame LIVE kupitia simu yako ukiwa mahali popote duniani. • Ulinzi wa 360°: Inarekodi chumba kizima bila kuacha kona. • Inasikia na Kuongea: Ina mic na spika ya siri kuongea na watu waliopo eneo hilo. • Meseji ya Dharura: Inakutumia alert kwenye simu ikiona mtu anapita. • Night Vision: Inaona vizuri usiku kukiwa na giza. Mzigo ni mpya kabisa (Brand New). Wahi yako sasa!
TSh 75,000
Fixed price
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif