Pata saa ya ukutani ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na kamera ya siri (Hidden Camera HD) iliyojificha ndani kwa ulinzi wa nyumba, ofisi, duka au ghala. Inarekodi video za ubora wa HD kwa picha zilizo wazi na zenye mwonekano mzuri. Muundo wake wa kawaida hufanya isiwe rahisi kugundulika kuwa ni kamera. Inafanya kazi kama saa halisi huku ikikupa uwezo wa kufuatilia mazingira kwa usalama zaidi. Rahisi kutumia na kufunga ukutani.