Huunganishwa na mtandao wa Wi-Fi bila kutumia waya wa data.
Huruhusu kutazama video moja kwa moja kupitia simu.
Hutoa picha na video zenye ubora mzuri kulingana na modeli.
Baadhi zina uwezo wa kuona gizani (Night Vision).
Baadhi zina mfumo wa kutambua mwendo (Motion Detection).
Zinaweza kutuma arifa kwenye simu mwendo unapogunduliwa.
Baadhi zina kipaza sauti na spika kwa mawasiliano ya pande mbili.
Baadhi huhifadhi video kwenye MicroSD card au Cloud.
Rahisi kufunga nyumbani, ofisini au dukani.