Muunganisho wa WiFi: Inakuwezesha kuangalia matukio mubashara kupitia simu yako ya mkononi ukiwa mahali popote duniani!
Picha za HD Wazi: Inapiga picha na video zenye ubora wa hali ya juu.
Uwezo wa Mzunguko (Pan 355° & Tilt 90°): Inazunguka upande hadi upande na juu/chini ili kuona kila kona.
Maono ya Usiku (Night Vision): Inaona na kurekodi vizuri hata gizani.
Kugundua Mwendo (Motion Detection): Inakutumia taarifa kwenye simu ikigundua mgeresho/mwendo wowote.
Sauti ya Pande Mbili (Two-Way Audio / Talk Back): Unaweza kusikiliza na kuongea kupitia kamera na simu yako.
Taa Mkali ya LED: Inafanya kazi kama taa kamili ya kuangaza chumba au nje.
Hifadhi ya Memory Card (SD Card Support): Inasaidia kadi ya kumbukumbu kwa ajili ya kuhifadhi video.