tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Jobs
  3. Sales & Telemarketing Jobs
  4. Sales Jobs
Dar es Salaam, Ilala, 09/09
66 views

We Are Hiring

+1
Job Type
Internship
Work Setup
Office
Responsibilities
Wadada 2 kwa upande wa Livestream na nafasi 10 kwa upande wa sales, kutafuta masoko ya kuuza vyombo kwa bei za jumla tu, kuwarudia wateja ambao tayari walishachukua BIDHAA kutoka kwenye kampuni na kuwapa taarifa ya bidhaaa mpya zilizoingia pia kuhakikisha unafanya majukumu mengine ambayo yanaweza kujitokeza na ukaambiwa uyakamilishe
Requirements & Skills
1.Uwe na uwezo wa kujiamini 2.uwe na uwezo wa kuwashawishi wateja na kuwauzia bidhaaa za kampuni 3.Uwe unajua kuongea Kingereza na kiswahili 4.Ukiwa na ujuzi wa sales hii itakusaidia kujihakikishia nafsi ya kuweza kuwa mmoja ya wafanyakazi wa kampuni hii
Minimum Qualification Requirements
Certificate level,diploma level and degree level
Minimum Experience
1 year
Kampuni ya JYCBRAND wauzaji wa vyombo vya ndani kitchenware electric home appliance wanakutangazia nafasi za kazi kwa upande wa Livestream 2female na sales nafsi 10 karibuni sana piga namba iliyopo kwenye tangazo
Report Abuse
Safety tips
  • Don't pay fees for applying/interviewing
  • Avoid going for an interview at an unofficial office address
  • Do your research and check info about the company
  • Never disclose personal info before you get a job offer
frame_left.gif