Tupo kariakoo, mtaa wa mbaluku. Mkabala na kituo cha mwendo kasi gerezani terminal. Hukifika piga 📞
Closed now
• Mon - Sat, 08:00-17:30
Hiki ni kiatu cha usalama kitacho kupa uhuru wakati wa kazi kwa kulinda mguu wako na viti vya ncha kali au vitu vizito kwa sababu inabati ngumu mbele ya vidole na chini ya kiatu.
Kalbuni sana 🤝🙏 ubora ndo jadi yetu