Manual Vegetable Slicer ya kisasa imetengenezwa kwa Stainless Steel 304 imara isiyoshika kutu. Inakata kabichi, cabbage, lettuce, viazi, matango na mboga zote kwa haraka na usawa wa hali ya juu. Unazungusha mkono tu, inakata kilo nyingi kwa dakika chache bila kutumia umeme. Ina kisu kikali sana na knob ya ku-adjust unene wa slice - unataka nyembamba au nene unaweka mwenyewe. Base yake ni nzito inakaa imara mezani, rahisi kuosha na kudumu miaka mingi. Inafaa sana kwa hoteli, restaurant, mama ntilie, shule, hospitali na nyumbani.