Mashine ya kukamua miwa ya umeme, ina Rollers 3 ngumu za chuma zinazokamua miwa mara moja tu na kutoa juisi 80% safi na tamu. Inatumia umeme wa kawaida wa nyumbani 220V 750W, uwezo wake ni 250kg kwa saa na ni rahisi sana kutumia na kuosha kwani ina Top Feeding, Non-Slip Base, Overload Protection, Safety Covers na Washable Drip Tray. Inafaa sana kwa biashara ya juice bar, hotel, mgahawani, beach na supermarket.
Wahi sasa zipo chache.