Fundi printer na photocopy mashine dar – site visit weekly!
hii ni yako! tunakufikia mahali popote ulipo. tuite tuje mpaka ofisini au nyumbani kwako kutatua changamoto ya mashine yako sasa hivi!
tunatengeneza na kufanya marekebisho ya mashine za aina zote kama:
canon
xerox
epson
ricoh
konica minolta bizhub
kyocera
samsung
hp
brother... na nyinginezo nyingi!
pia tunatengeneza:
money counting machines (mashine za kuhesabia fedha)
karibu kwa huduma bora, ya haraka na ya uhakika!
wasiliana nasi sasa hivi