Mini Printer zinauzwa kwa bei nafuu na rafiki kabisa. Kama wewe ni mjasiriamali na mzalishaji wa bidhaa mbalimbali hii itakusaidia kuweka taarifa zinazoendana na kukidhi ubora wa bidhaa zako kama vile: Prodction date, Expiry date, QR code, BarCode n.k