tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. Printers & Scanners
  4. Photocopier
  5. Xerox Printers & Scanners
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 34 min ago
3 views

Xerox Workcentre 7830 – Ubora Wa Rangi Kwa Kiwango Cha Juu

+1
Photocopier
Type
Xerox
Brand
7830
Model
A3 (297 x 420 mm), A4 (210 x 297 mm)
Supported Paper Size
Color
Colours
USB, Wi-Fi, Other
Connectivity
Used
Condition
Xerox 7830 ni mashine ya kisasa ya rangi inayofanya Print, Copy, Scan (na Fax kwa hiari). Imetengenezwa kwa ajili ya ofisi, taasisi na biashara zinazohitaji ubora wa hali ya juu na uzalishaji mkubwa. Sifa Kuu: Kasi ya hadi 30 kurasa kwa dakika (rangi na nyeusi) Ubora wa picha hadi 1200 x 2400 dpi – rangi ang’avu na maandishi makali Inachapisha hadi A3 size Touch screen kubwa na rahisi kutumia Inafanya kazi kwa mtandao (Network), USB na chaguo la WiFi Inafaa kwa kazi nyingi za mfululizo (heavy duty) Faida kwa Biashara: Inazalisha vipeperushi, ripoti na makabrasha kwa ubora wa kitaalamu Imara na ya kuaminika kwa kazi za kila siku Inaokoa muda kwa sababu ya kasi na uwezo mkubwa wa karatasi Gharama nafuu kwa kila ukurasa ukilinganisha na ubora wake Chaguo bora kwa stationary, ofisi kubwa, shule na taasisi!
TSh 1,800,000
1 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif